News, Updates, Activities, Assignments,...

Kardinali Polycarp Pengo alipotembelea Jimboni Moshi na kuadhimisha misa ya kumbukizi ya marehemu Stanley Mbuya. Misa hii ilisaliwa katika Parokia ya B. Maria wa Lurdi - Kilema (Picha na idara ya Mawasiliano Moshi)

Chrism Mass - Tuesday 12 April 2022 -
Christ the King Cathedral, Moshi

marijani.gif

Rest in Peace, Padre Ambrose Marijani

With faith in the resurrection, the Catholic Diocese of Moshi regrets to announce the death of Rev. Fr. Ambrose Marijani. He died this morning (March 29th) at Huruma hospital, Rombo.
Fr. Marijani until his death was Assistant Pastor at Our Lady of the Rosary Parish, Manushi.  . Fr. Marijani hails from St. Joseph, the Worker parish Mashati. He was ordained on June 29, 1975. May His soul Rest In Peace. Amen      Funeral arrangements as communicated from the bishop's office.

These photos were taken during a seminar of young priests from year 1 to 10.
The facilitators were senior priests and other priests from various specialized disciplines.

Gazeti la Kiongozi: Picha za Mapadre vijana wakipewa semina. Wawezeshaji wa semina hii ya siku mbili walikuwa mapadre wa umri wakiongozwa na Padre Lui Shao mwenye umri wa miaka 103 ya kuzaliwa na miaka 72 ya Upadre  na mapadre wengine katika kada mbalimbali za ujuzi na uzoefu. Mapadre wengine walitoa mada ni Padre Aishi daima kisheria (Pd. Aristides Ngawiliau), Padre aheshimu na aishi Liturjia kadiri ya Mwongozo  wa Kanisa Katoliki (Pd. August Ndepatanisho), Nidhamu katika Mawasiliano (Pd. Faustine Furaha), Sheria za kanisa na Padre (Pd. Dominick Kimboi), Padre na Mazingira ya Parokiani (Pd. Aidan Msafiri)  Mungu azidi kuwabariki Mapadre vijana na wale mapadre wa umri hasa kwa utayari wa kushirikisha maisha yao.

Hippolytus.jpg

KUMBUKENI KUSALI MALAIKA WA BWANA
“ANGELUS”

Maneno hayo yalisemwa na Mh. Askofu Ludovick Joseph Minde ALCP/OSS wakati  akizindua parokia Teule ya Mtakatifu Yohani Paulo II, Sanya Station. Sambamba na uzinduzi huo alimtaja, kumteua na kumsimika Padre Kiongozi wa kwanza wa Parokia hii teule, Mh. Pd. Hippolytus Joseph Kochambe.

Tukio hili la furaha lilifanyika 25/3/2022 siku ya Kupashwa Habari Bikira Maria. Katika tukio hilo mhashamu Baba Askofu aliongoza adhimisho la Ekaristi Takatifu na ndani yake kumsimika Padre Kiongozi wa kwanza wa parokia hii teule. Katika homilia yake, Baba Askofu alizungumzia zawadi kuu ya Mungu kutoa mwili na kukaa kwetu. Katika hii alikazia juu ya kusali Malaika wa Bwana “Angelus” mara tatu kama ilivyo mila na desturi ya Kanisa Katoliki yaani saa 12As, 6Mch. na 12Jioni. 

 

Askofu Ludovick Joseph Minde ALCP/OSS akimpongeza Padre Hippolytus Kochambe mara baada ya kumsimika kuwa Padre Kiongozi wa Parokia Teule ya Yohane Paulo II, Sanya Station. Tukio hili lilitokea mwishoni mwa wiki. (Picha na Idara ya Mawasilino)

Hii ndiyo namna nzuri ya kulienzi fumbo hili la umwilisho. Baba Askofu aliunganisha tukio la Bikira Maria kupashwa Habari na zawadi ya kuwa na parokia teule ambayo itampeleka Yesu kwa watu katika ukanda wa chini.  Parokia hii teule ilikuwa inahudumiwa na Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Wakristo, Mbosho. Kwa sasa Baba Askofu ameteua Parokia ya Familia Takatifu, Hai Mjini kuwa Mlezi. Parokia hii teule  inafanya Jimbo Katoliki Moshi kuwa na Parokia 62 na parokia Telule 21 na hivyo kufanya parokia za Jimbo  Moshi kuwa 83.

Hippolytus2.jpg

Mh. Askofu Ludovick Joseph Minde ALCP/OSS katika ibada fupi ya kumsimika Padre Hippolytus Kochambe kuwa Padre Kiongozi wa Porokia Teule ya Yohane Paulo II, Sanya Station.

Pia  katika adhimisho hilo tulisali na kuombea Russia na Ukraine. Kanisa la Moshi liliungana na Kanisa lote ulimwenguni kuiweka wakfu Russia na Ukraine. Askofu alitualika tuendelee kuombea Amani duniani.  “Bikira Maria Malkia wa Amani, Utuombee.”

Idara ya Mawasiliano Moshi inamtakia Padre Kochambe utume uliotukuka.

Transitional Diaconate Ordination 28 July 2022 
Christ the King Cathedral in Moshi

Frt. Eugene Kawau small.jpg
Frt. Deogratias Josefat Miku small. jpg.jpg

Frt. Deogratias Miku

Frt. Eugene Kawau

Frt. Mark Miradi small.jpg
Frt. Japhet FIdelis Mseri small.jpg

Frt. Mark

Miradi

Frt. Japhet
Mseri

Frt. Aristides Peter Ortho Sitiri small.jpg

Frt. Aristides Orotha

Frt. Joseph Urio Ndeonasia small.jpg

Frt. Joseph

Ndeonasia

Frt. Charles Pius Wosia  small.jpg

Frt. Charles

Wosia

DIACONATE ANNOUNCEMENT 2022.jpg

Welcome Bishop Ludovick Joseph Minde

Bishop Minde, a native of the Catholic Diocese of Moshi, Tanzania, was installed as Bishop of this diocese on Thursday, March 19th, the feast of St. Joseph.   

32 of Tanzania's 34 bishops + 2 auxiliary bishops traveled to Moshi to join the celebrations.   While there, they spent two days in a retreat, praying for the end of the coronavirus.  

new bishop 1.jpg

Catholic Diocese of Moshi,  Chancery Office, P. O. Box 3041 Moshi, Tanzania. 
Phone: +255 272 752 157,
Fax +225 2727 50934

Email: bishopshouse_moshi@yahoo.co.uk

 

© 2015 Moshi Catholic Diocese. Proudly created with Wix.com